Showing posts with label Meta Trader 5. Show all posts
Showing posts with label Meta Trader 5. Show all posts

Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary

Kwa wale wapenzi wa Forex, moja kati ya trades zenye faida kubwa ambazo ni rahisi kuzifuatilia kwa sababu haziathiriwi na fundamentals basi ni Volatility Index au kwa kifupi VIX.
 
Unaweza uka trade Volatility Index kwa kutumia broker maarufu zaidi kwa binary options yaani Binary
Kama bado huna account ya Binary, huu ni muda muafaka wa kutengeneza account hiyo kwa kubofya kitufe kifuatacho:

FUNGUA ACCOUNT BINARY
Mara baada ya kutengeneza account na ku verify EMail uliyotumia ku register.


Fuata mtiririko huu kutengeneza Volatility Index MT5 account:

1. Login kwenye account yako ya Binary.com
2. Chagua Real Account Opening ambapo utaanza kuweka taarifa zako kama majina yako, na anuani yako kwa ajili ya kufungua account.
3. Baada ya kutengeneza account, utachagua CURRENCY kwa ajili ya account yako, ambapo unapaswa kuchagua FIAT na kwenye currency chagua USD then bofya CONFIRM
4. Kwenye menu ya juu kulia, bofya kimshale kinachoangalia chini halafu chagua META TRADER 5
5. Kwenye sehemu ya kwanza chagua META TRADER 5 halafu sehemu inayofuata chagua "Volatility Indeces"
6. Chagua next, halafu utaulizwa uweke taarifa zako za MT5 account ambapo utaandika jina na kuweka password.
7. Click create na tayari account yako ya Binary itakua tayari

Kwa maelezo marefu na yenye picha kuhusu jinsi ya kutengeneza Volatility Index account kwa Meta Trader 5, bofya kiungo kifuatacho:

How to open Meta Trader 5 Volatility Index account

Katika Makala zifuatazo, tutaelezea jinsi gani ya kutengeneza faida kwa kutumia Volatility Index

Zinazosomwa Zaidi

Followers