Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Iwapo una laini ya Safaricom na unatumia huduma ya M-Pesa Kenya, na unataka ku deposit pesa kwenye account yako ya TemplerFx, fuata mtiririko huu ili kufahamu jinsi ya ku deposit kiasi cha pesa upendacho.
Jambo la kwanza ni kuhakikisha account yako ya M-Pesa ina balance inayolingana na kiasi unachotaka ku deposit, waweza kuwa na kiwango chochote kisichopungua KES 200 au Kiwango cha KES kinacholingana na 1 USD
Jinsi ya kuweka na kutoa pesa Templer Fx kwa Safaricom M Pesa:
Kwenye page itakayotokea ya kufanya malipo, iwapo upo Tanzania au ncho tofauti na Kenya, utalazimika ku-edit namba yako iliyopo, na kuweka namba yako ya Safaricom, utafanya hivyo kwa kubofya ki-tick kilichoandikwa (I need to change ...) kisha utaweka namba yako ya Safaricom bila kuweka code yaani utaanza na 07XXXXXXXX
Ukisha edit namba yako na kuweka namba ya Safaricom, utabofya PAY NOW, na hapo iwapo unatumia Smart Phone, utakuwa Prompted kwenye simu yako kuweka namba ya siri.
Iwapo laini yako ya Safaricom ipo kwenye simu isiyo smart (kitochi) basi waweza amua kutumia njia ya zamani kwa kubofya maneno yenye rangi ya brown yaliyoandikwa
Kama bado huna account ya Forex kupitia TemplerFx, bofya kitufe kifuatacho kujiunga:
BOFYA HAPA KUFUNGUA ACCOUNT
Jambo la kwanza ni kuhakikisha account yako ya M-Pesa ina balance inayolingana na kiasi unachotaka ku deposit, waweza kuwa na kiwango chochote kisichopungua KES 200 au Kiwango cha KES kinacholingana na 1 USD
Jinsi ya kuweka na kutoa pesa Templer Fx kwa Safaricom M Pesa:
- Kwa kutumia computer yako, Login kwenye account yako ya TemplerFx
- Kwenye menu ya upande wa kushoto, bofya palipoandikwa Finance
- Chini yake utaona Deposits, bofya link hiyo.
- Kwenye ukurasa utakaofunguka, chagua account unayotaka ku-deposit, na iwapo bado hujatengeneza account, utaambiwa utengeneze account.
- Ukishachagua account, bofya sehemu iliyoandikwa Select a payment System
- Chagua palipoandikwa IPay Africa
- Baada ya hapo utachagua Method of payment
- Hapo sasa utachagua M-Pesa Kenya
- Bofya/Tick sehemu ya kukubali vigezo na masharti na iwapo ungependa bonus pia.
- Bofya kitufe kilichoandikwa DEPOSIT KES XXX
Kwenye page itakayotokea ya kufanya malipo, iwapo upo Tanzania au ncho tofauti na Kenya, utalazimika ku-edit namba yako iliyopo, na kuweka namba yako ya Safaricom, utafanya hivyo kwa kubofya ki-tick kilichoandikwa (I need to change ...) kisha utaweka namba yako ya Safaricom bila kuweka code yaani utaanza na 07XXXXXXXX
Ukisha edit namba yako na kuweka namba ya Safaricom, utabofya PAY NOW, na hapo iwapo unatumia Smart Phone, utakuwa Prompted kwenye simu yako kuweka namba ya siri.
Iwapo laini yako ya Safaricom ipo kwenye simu isiyo smart (kitochi) basi waweza amua kutumia njia ya zamani kwa kubofya maneno yenye rangi ya brown yaliyoandikwa
Baada ya hapo, fuata maelekezo yafuata jinsi ya kulipa pesa, na muda huo huo ukishalipa utaona balance yako kwenye account yako ya TemplerFx
I did not get a prompt on my phone. Take me to the previous MPESA payment method
Na iwapo bado hujawa na account ya TemplerFX, bofya kitufe kifuatacho kujiunga:
BOFYA HAPA KUFUNGUA ACCOUNT
0 comments:
Post a Comment