Showing posts with label AirTel Money. Show all posts
Showing posts with label AirTel Money. Show all posts

Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa kupitia mitandao ya simu kama Mpesa na tigopesa

Njia ya kuweka na kutoa ni moja kati ya vigezo vikubwa ambavyo trader yoyote wa forex huvizingatia pale anapofanya maamuzi ya kuanza kujiunga na broker fulani.

Forex M-Pesa Brokers



Urahisi wa kuweka na kutoa ni kigezo kikubwa ambacho kila mmoja hukiangalia, ni mara nyingi tumeshuhudia brokers wengi wakiwasumbua wateja wao wakati wa kutoa pesa zao.

Kwenye post hii, najaribu kukuelekeza kwa mifano, baadhi ya brokers ambao ukiamua kujiunga nao, basi utafurahia huduma za moja kwa moja za kutoa pesa kwa kupitia mtandao wako wa simu iwe ni M-Pesa, TigoPesa au AirTel Money.

Kwa sasa hakuna ubishi kwamba broker anayefahamika kwa jina la EXNESS, ndiye broker bora zaidi na ambaye amejipatia sifa zaidi kwa jinsi anavyoendesha biashara ya forex, lakini pia jinsi alivyowekeza kwenye technology, broker huyu anakuwezesha kuweka na kutoa papo kwa papo kwa kupitia mtandao wa Vodacom mpesa,

Kufungua account ya Forex kwa broker huyu anayekuwezesha kuweka na na kutoa kupitia mobile money, bofya kitufe kifuatacho:

FUNGUA ACCOUNT EXNESS

Ukiachilia EXNESS, broker mwingine ni TemplerFx ambaye anatumia mawakala. 

Broker ambaye awali kabisa tumekua tukifurahia huduma zake za kuweka na kutoa kupitia M-Pesa ni TemplerFx, kwa bahati mbaya huduma hgii ilikuja kusitishwa nchini Tanzania lakini imeendelea kuwepo Kenya. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye TemplerFX wamefanikiwa kukuletea huduma hii ya kuweka na kutoa papo kwa papo kupitia AGENTS

Broker huyu amejitahidi kuwa na huduma bora kabisa ya kuweka na kutoa kupitia Agents ambapo unachopaswa kufanya ni kuchagua huduma ya kutoa kwa kupitia Agents, na baada ya hapo ndani ya muda mfupi kabisa, utakua umefanikiwa aidha kuweka, au kutoa.

JINSI YA KU WITHDRAW KUPITIA MOBILE MONEY AGENT TANZANIA


  • Kwenye menu ya upande wa kushoto chagua FINANCE halafu bofya WITHDRAW


  • Kwenye ukurasa utakaofunguka, chagua account unayotaka ku withdraw pesa


  • Kwenye sehemu ya Method, chagua E-WALLET WITHDRAW REQUEST
  • Kwenye sehemu ya E-Wallet System, chagua Mobile Money Tanzania (Agent) kama upo Tanzania


  • Endelea kwa kuchagua E-Wallet namba, kisha weka kiasi cha kutoa na malizia kwa kubofya SUBMIT


Baada ya hapo utasubiri kwa sekunde chache utaona taarifa kuhusu muamala wako na punde kidogo utaona itaingia kwenye simu yako

Kufungua account kwa broker huyu BOFYA HAPA

Zinazosomwa Zaidi

Followers