Showing posts with label Free 30 USD. Show all posts
Showing posts with label Free 30 USD. Show all posts

Jinsi ya kupata dola 30 za kianzio kutoka TickMill Forex Broker

Forex imeendelea kuwa biashara yenye mzunguko mkubwa wa fedha kuliko biashara nyingine zozote duniani.

TickMill 30 USD bonus account

Kwa bahati nzuri biashara hii haina mipaka baina ya nchi na nchi na mtu yoyote anaweza kujifunza na kuanza biashara ya Forex na kuweza kutimiza ndoto zake kwa kuishi maisha yenye uhuru wa kiuchumi.

Ingawa ukweli ni kwamba, Forex sio biashara rahisi especially kwa nyakati za mwanzo ambapo ni rahisi kupoteza mtaji wako iwapo utaingia sokoni bila kufuata misingi inayopaswa ya kuzuia hasara, lakini utakuja kugundua kwamba, kadiri unavyozidi kujifunza na kukaa sokoni, ndipo unapozidi kupata uzoefu na kuzifahamu indicators mbali mbali za kiuchumi zinazokuwezesha kufanya maamuzi ya aidha ku-BUY au ku-SELL.

Ni kwa kufahamu jambo hili, ndio maana yupo Forex Broker bora kabisa anayefahamika kwa jina la TICKMILL ambaye atakuwezesha kupata dola 30 za kianzio ambazo unaweza ukazi trade, na iwapo utatimiza vigezo na masharti, basi utaweza kuzi withdraw, na uzuri ni kwamba broker huyu, anakuwezesha ku deposit na ku withdraw moja kwa moja kwa kutumia simu yako ya mkononi kwa mtandao wa Vodacom M-Pesa.

Kupata dola 30 kutoka TickMill, bofya kiungo kifuatacho ambacho utapewa maelekezo ya kufungua account yenye dola 30.

FUNGUA ACCOUNT YENYE 30 USD

Ukiachilia account ya dola 30, pia waweza tengeneza account yako ya kudumu kwa broker huyu kwa kubofya kiungo kifuatacho:

FUNGUA ACCOUNT

Endelea kufuatilia post zingine ili uzidi kupata elimu jinsi ya kufanya vyema kwenye ulimwengu huu wa biashara ya Forex. 

Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji

Wapo watu wengi wanatamani kuanza biashara hii ya Forex lakini wengi wamekua na kikwazo kwenye mtaji wa kuanzia  biashara hii kubwa duniani.
Habari njema ni kwamba, wapo baadhi ya brokers ambao wanakupatia kianzio cha bure kabisa ambacho kitakuwezesha kupata pesa ya bure kabisa kuanza biashara hii ya Forex, na kwa bahati nzuri, hapa kwetu Tanzania yupo broker ambaye atakupatia bure kabisa dola 30, ambayo inaitwa NO DEPOSIT BONUS, utakachopaswa kufanya ni kuanza kukuza kiwango hicho hadi kufikia dola 100 na utakuwa na uwezo wa kui withdraw.

Free 30 USD Templer Forex

Ili kuweza kupata kianzio hichi cha bure cha dola 30, jiunge na Forex kwa broker wa templer kwa kufuata kitufe kifuatacho:

BOFYA HAPA KUFUNGUA ACCOUNT

Ukishatengeneza account yako ya Forex, fuata hatua zifuazo ili ku-request dola 30 za bure:
  • Login kwenye dashboard yako ya Templer Fx
  • Ukisha login, kwenye menu kuu iliyopo upande wa kushoto chagua BONUS
  • Click request NBD 30$ ambapo utapatiwa login id, pamoja na password ya kulogin kwenye mt4
No deposit bonus templerfx

Tayari utakua umeshapata dola 30 za bure kabisa zinazokuwezesha ku trade Forex.

Zifuatazo ni sheria na taratibu za kukuwezesha ku withdraw faida utakayoipata baada ya ku trade kwa NDB.
  • Unatakiwa u trade hizo dola 30 ulizopatiwa, hadi zifike dola 100 ndani ya mwezi mmoja na iwapo utashindwa kufikisha dola 100 ndani ya huo mwezi mmoja, utakua umeshindwa kutimiza vigezo vya No Deposit Bonus.
  • Ndani ya huo mwezi mmoja ambao utapaswa kufikisha dola 100, total lot size/volume inatakiwa isipungue 5 yaani kwa mfano kama una trade kwa lot size ya 0.05, basi kwa ujumla uwe ume fungua na kufunga jumla ya trades 100 ndani ya huo mwezi mzima yaani 5 gawa kwa 0.05
  • Jumla ya positions zinazo run kwa wakati mmoja, zisizidi volume ya 0.3, kwa mfano kama una trade kwa 0.1, basi zitahesabiwa maximum positions 3 ambazo jumla ndio inakua 0.3
Iwapo umefanikiwa kutimiza vigezo vyote hivyo, utapaswa account yako iwe imekua full verified, yaani email, identification, number ya simu na card, then utatuma email au uta chat na mtu wa support aliye online muda wote, ili kuweza ku withdraw amount uliyotengeneza ya dola 100. Kumbuka kwamba, amount utakayopewa kutokana na ku trade No Deposit Bonus ni dola 100 pekee, na utakua na uhuru wa kuamua either kuzi withdraw kabisa, au kuendelea kuzi trade kama mtaji wako mpya. 

Zinazosomwa Zaidi

Followers